NSSF hawajakoma? Baada ya kujenga maghorofa ya Dege Kigamboni, yakadoda, Ubungo Plaza, Hoteli Mwanza, sasa wanajenga hotel ya nyota tano Dodoma.

Bila Construction projects tutaish vip mzee....

NSSF wana Construction projects na Agricultural projects za Mabilioni..

Hizo pesa ni za bure na hazidaiwi kwa nguvu hivyo ...

Ikitokea zimeisha inatungwa sheria nyingine tena ya kusubiri mafao baada ya miaka kumi....

Kipindi Bwana fulani alikiwa anazigawa mpaka kwa wanasiasa wakaoana zinaisha, wakaleta sheria ya kuzuia wanachama kujitoa..

Ni Kama kawaida tu😃
 
'Kuleni kwa urefu wa kamba zenu'.

Hiyo ni amri toka kwa mkuu, hao NSSF ni nani hata wakatae maelekezo toka juu!?
 
Kama hiyo Project italeta tija na Ajira kuna shida gani?
 
Masikini hizi ni pesa za wafakazi masikini wa watanganyika
 
Ni bure kama za NHIF hata wana siasa wanakopeshwa hamna wakuwabugudhi.
 
10% ya Bilioni 800 ni sawa na sh ngapi?
 
Pesa za mambugila ndomana wanazitumia watakavyo

Ova
 
Halafu punda wanakuja kupunguziwa mafao kupitia kikokotoo.

CCM ni adui mkuu wa maendeleo endelevu.
 
Hiyu anayeonekana ni nani? Kipindi hayo maamuzi yanatolewa ya kujenga real estate zisizo na tija ndo kipindi kile NSSSF wamejazana wale wavaa makubasi! Magu alikuja akawasambaratisha angalau they came into their senses! Sasa huyu ni nani anirudisha NSSF kuleee? Wanufaika wa mfuko wanadai mafao hawalipwi!
 
Wakome kufanya nini Sasa? Kwani huko walikojenga wakipata hasara au Jiwe aliwapora pesa zao?

Mwisho sio tuu wanajenga hiyo Hoteli ya nyota 5 Bali wameshapata mwendeshaji wa Hoteli yenyewe.

Dodoma itakuwa na 5 star hotels 3 Sasa
 
Bora waweke pesa kwenye miradi ya ujenzi huko kwenye Kilimo Kuna hasara ya Kufa mtu.

Hasara waliyokula kule mkulazi ingejenga jengi kama Hilo Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…