Akiwa kama mgombea? Hiyo Hakuna!!!Ni ofisi gani ya umma uliingia hukuona picha ya mheshimiwa rais Magufuli?
TRA ukiwalipa hata wewe kama una gari utapewa plate number kwa jina lako Gillangi, ila sidhani kama ccm nao wanalipia.Yale magari yenye plate ilyoandikwa CCM nayo ni ya hapa hapa Tanzania?Sheria zinasemaje kuhusu namba za usajili wa magari na vyombo vingine vya moto hapa Tanzania?Kuna vyama vya siasa vilivyo juu ya sheria?Tuwe Fair kwenye utii wa sheria za nchi hii.
Hilo nilikuwa silifahamu,inawezekanaje ndani ya nchi kunakuwa na mifumo ya plate namba tofauti kwa madhumuni maalum.Zaidi ya gari moja kuwa na namba CCM ni sahihi?Likitokea la kutokea unalitambuaje?Hata kama ni fedha za kulipia TRA,huu mtindo ni wa kipekee sana.Kuliwahi kuwa na RC DSM zaidi ya gari moja pia,haya yote ni nguvu za fedha?Je,hayo magari yaliondoka na RC aliyeondolewa ama bado yapo?TRA ukiwalipa hata wewe kama una gari utapewa plate number kwa jina lako Gillangi, ila sidhani kama ccm nao wanalipia.
Ona sasa unavyo jivua nguo mbele za watu.Mabango ni ya kampuni binafsi na yako kibao kila eneo kawalipe na wewe wakuweke
Angalia chini ya bango utaona jina la kampuni
Mabeberu ni wale wasiojulikana! Kwa mfano serkali ya Marekani, umoja wa ulaya, Ujerumani, Uingereza, Finland, IMF, World Bank - wote hao siyo mabeberu. Lakini Robert Amsterdam ni beberu kama yupo, Acacia walikuwa ni mabeberu, Lissu anatumikia mabeberu. Kabendera alitumikia mabeberu (lakini hakutumikia nchi au shirika yoyote nilizo zitaja).Natamani sana siku moja hao mnaowaita mabeberu watuwekee economics santions,ndio mtawaheshimu
Hata geto kwangu nimeweka picha ya Pombe
Mkuu si ubandike na wewe ya kwako kwa nini unateseka? Au ulibandika ukafukuzwa hao wakaachwa?Jumatatu niliamua nipite daraja la Kigamboni kuelekea mjini. Nilipofika pale sehemu ya kulipia (Toll Centre) nikaona kuna picha za wanasiasa wawili zimebandikwa kwenye nguzo.
Hizi ni picha za ndugu John Joseph Pombe Magufuli (kwa wasiofahamu huyu ni Mgombea urais kupitia CCM) na ndugu Faustine Ndungulile (mgombea ubunge kupitia CCM).
Nafahamu ile ni ofisi ya umma, je kubandika picha za Wagombea ni sawa?
Je, wakija CUF ama ACT na picha zao nao pia watabandika bila kikwazo chochote?
Naamini uongozi wa NSSF hapo Kigamboni darajani mtanipatia majibu ambayo yanaweza kusaidia vyama vingine pia kuja kubandika picha za wagombea wao kwenye hilo eneo la kulipia.
Jiongeze mwnyw hapoPombe aina gani umeweka,komoni,mbege,kimpumu au gongo?