NSSF hilo pori la Ununio kama limewashinda Liuzeni badala ya kuliacha liwe kichaka cha Kuulia Watu!

NSSF hilo pori la Ununio kama limewashinda Liuzeni badala ya kuliacha liwe kichaka cha Kuulia Watu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Natoa tu angalizo siyo sawa taasisi kubwa kama NSSF kutuwekea mapori Mjini.

Sasa Watu wanatupwa tu kwenye pori la taasisi ya Umma tena wengine wakiwa wameshakufa kama yule mzee Ally Mohamed Kibao.

Hili pori liko pembeni ya barabara inayotumiwa na Viongozi wengi sana akiwemo Waziri nyeti kabisa na Wabunge Askofu Dr Gwajima na mh Halima James Mdee.

Pori hili ni hatari sana kwa Usalama wa Matajiri wa Mbweni pia.

Ahsanteni 🐼

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
 
Hao watu wanafanya kusudi kuna mapori mengi ya jeshi tena mnini kabisa mbona hawaendi kutupa huko, ni sababu wanafanya kama mazoea

Ila ipo siku yao, hakuna mwanzo usio na mwisho
 
Back
Top Bottom