A
Anonymous
Guest
Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote.
Sijui Maafisa wanafanya kazi gani kama sio kufuatilia malipo ya Wafanyakazi, Je wanataka Watu wakihitaji mafao waanze kuwazungusha au kumrudia mwajiri?
Jamani, NSSF fanyeni kazi yenu mnalipwa mishahara kwa kodi zetu! WAJIBIKENI mtudaie mafao yetu.
Kinachotokea wakati mtu ameshaondoka kazini akienda kufuatilia anakuta hakuna kitu kwenye akaunti, akiuliza NSSF wanamwambia "kamuulize mwajiri wako", ukifikiaria kuwa umeshatoka kazini, ukirusi njoo kesho ni nyingi, ni mateso ya kuzungushwa mwanzo mwisho na mwisho wa filamu haupati chochote.