NSSF kwa kutoa 33% ya mshahara wa mwezi mtu anapokuwa hana kazi ni kutaka mtu aendelee kuajiriwa mpaka baada ya miaka 55

NSSF kwa kutoa 33% ya mshahara wa mwezi mtu anapokuwa hana kazi ni kutaka mtu aendelee kuajiriwa mpaka baada ya miaka 55

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
NSSF na Serikali hawaongei lugha moja.

Serikali inataka watu wajiajiri lakini NSSF inataka watu waendelee kuajiriwa mpaka wakifika miaka 55.

Kwa mtazamo wangu mtu alitakiwa apewe 30% ya michango yake kama kiinua mgongo kimuwezesha kujishughulisha mwenyewe bila kutegemea tena ajira wakati bado mtu ana nguvu lakini NSSF wao wanampa 33% ya mshahara wake kwa KISINGIZIO KWAMBA MTU HUYU atapata kazi ndani ya miezi 18 .
 
Back
Top Bottom