A
Anonymous
Guest
NSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu morogoro zaidi ya mara 4 mtu wa reception ananiambia process tayari Bado approval ya manager, ambaye amesafiri, kweli kuanzia tarehe 30 April mpaka leo 13 July manager amesafiri?
Halafu Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo, mfumo inasoma verification na process kwa tarehe ya leo (current) na sio tarehe uliyofanya.
Kama Manager NSSF Morogoro kashindwa kazi atuambie.
Halafu Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo, mfumo inasoma verification na process kwa tarehe ya leo (current) na sio tarehe uliyofanya.
Kama Manager NSSF Morogoro kashindwa kazi atuambie.