A
Pole sana mkuuNSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu morogoro zaidi ya mara 4 mtu wa reception ananiambia process tayari Bado approval ya manager, ambaye amesafiri, kweli kuanzia tarehe 30 April mpaka leo 13 July manager amesafiri?
Halafu Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo, mfumo inasoma verification na process kwa tarehe ya leo (current) na sio tarehe uliyofanya.
Kama Manager NSSF Morogoro kashindwa kazi atuambie.
View attachment 3366780
Hii inategemea,kama hujaweka attachments zote zinazotakiwa,lazima iwe rejected na sababu wanakuambia.Hivi inakuaje mtu anaomba mafao yake kwa njia ya mfumo majibu yanarudi REJACTED sababu hasa huwa ni nini?alqfu sio mata moja kusikia ukituma maombi online huwa yanazingua ila ukimpa mfanyakazi wao hapo akufanyie mchakato ni faster ndani ya wiki 3 unapata mziho na 10 %unampa ..ila urasimu..
Hao ni wala rushwa balaa mkuuKuna hawa nssf ubungo,wanafanya kazi taratibu kama konokono.. nimeweka fingerprint tangu tarehe 26 ila mpaka leo mzigo bado.
HII ishu ya NSSF nashindwa kuelewa, mkataba wangu uliisha mwezi wa 4 2026, nilipoenda ofisini kwao wakaniambia nisubiri nikae miezi mitatu toka siku ya mwisho wa mkataba ndipo nianze process za Claim. Kwahiyo mwishon mwa mwezi wa saba ndipo naanza KWA MAELEKEZO YAO. Nikasikia waziri siku moja anasema bungen claim ukimaliza mkataba unaanza. Na utapewa mafao ndani ya miezi mitatu imekaaje hiyo wadau hii ishu ya CLAIM NSSFNSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu morogoro zaidi ya mara 4 mtu wa reception ananiambia process tayari Bado approval ya manager, ambaye amesafiri, kweli kuanzia tarehe 30 April mpaka leo 13 July manager amesafiri?
Halafu Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo, mfumo inasoma verification na process kwa tarehe ya leo (current) na sio tarehe uliyofanya.
Kama Manager NSSF Morogoro kashindwa kazi atuambie.
View attachment 3366780
Wewe unataka fao gani kwani?HII ishu ya NSSF nashindwa kuelewa, mkataba wangu uliisha mwezi wa 4 2026, nilipoenda ofisini kwao wakaniambia nisubiri nikae miezi mitatu toka siku ya mwisho wa mkataba ndipo nianze process za Claim. Kwahiyo mwishon mwa mwezi wa saba ndipo naanza KWA MAELEKEZO YAO. Nikasikia waziri siku moja anasema bungen claim ukimaliza mkataba unaanza. Na utapewa mafao ndani ya miezi mitatu imekaaje hiyo wadau hii ishu ya CLAIM NSSF
Wewe unataka fao gani kwani?
Wewe unataka fao gani kwani?
Unemployment Benefit. Ndio kipengele nilichokionaWewe unataka fao gani kwani?
Hiyo unatakiwa kukaa mwezi mmoja tu kisha unafungua madai yakoUnemployment Benefit. Ndio kipengele nilichokiona