NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

Huyo ndo hakunisaidia kabisa ikabidi nimcheki yule mama Ndalichako alinipa ushirikiano wa kutosha nikapata haki yangu.
Angalau wewe ulipata bahati ya kumuona Ndalichako kuna watanzania wengi hata Dar hawajafika lkn wanamadai yao NSSF sijui watasaidiwaje.
 
Angalau wewe ulipata bahati ya kumuona Ndalichako kuna watanzania wengi hata Dar hawajafika lkn wanamadai yao NSSF sijui watasaidiwaje.
Yaani we acha mkuu, hasa hiyo branch ya mwanza ni uozo mtupu.
 
Duh! Mimi ni mhanga lakini kwa hili sikubaliani na wewe....haiwezekani uweke hela usipate faida...tuache kudanganya jamani 😌
 
Hebu tujadili hili linalotuhusu woteπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ Tusome hii picha na tutafakari kwa pamoja
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-11-02 at 5.46.04 PM.jpeg
    39.1 KB · Views: 15

Pole Sana mkuu, NSSF wanaboa Sana. Kupata pesa yako ni kazi Hadi utachoka.
 
Wanasema eti ukiacha haulipwi mpaka ufukuzwe ndio ulipwe ni kweli?

Hata ukifukuzwa hawakupi mpaka wafanye upelelezi Kama umepata ajira sehemu nyingine. Huo upelelezi unaweza kuchukua miaka miwili.
 
Hawa watu pamoja na mambo mengine hebu tuwafuatilie kuna vipindi vyao nimeshaona kipindi cha mafao ...faida wanapata
 
Pole Sana mkuu, NSSF wanaboa Sana. Kupata pesa yako ni kazi Hadi utachoka.
Yaani we acha tu unaenda kubembeleza wakati pesa ni yako na wao wameshaipatia faida.
 
Kwanza pale kuna ndugu(mapacha) wa kike, najiuliza walipataje kazi sehemu moja?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…