NSSF na PSSSF zipambane soko moja, NHIF itafutiwe mshindani

NSSF na PSSSF zipambane soko moja, NHIF itafutiwe mshindani

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Ni muda muafaka sasa kwa Serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka Serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza wanachama toka sekta binafsi.

Vivyo hivyo kuwapo kwa mfuko mmoja wa Bima ya Afya ya Taifa, ni kosa, kunaondoa ushindani. Kuwe na walau mfuko mwingine, na hii mifuko ishindane ili kuvutia wanachama.
 
Ni muda muafaka sasa kwa serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza wanachama toka sekta binafsi.

Vivyo hivyo kuwapo kwa mfuko mmoja wa Bima ya Afya ya Taifa, ni kosa, kunaondoa ushindani. Kuwe na walau mfuko mwingine, na hii mifuko ishindane ili kuvutia wanachama.
Naunga mkono hoja. Hii ni nzuri sana kwa sisi wananchi ila ni mwiba kwa watawala na wenye madaraka.
Bahati mbaya maamuzi yanafanywa na watawala na wenye madaraka hivyo huwa wanazingatia maslahi yao kwanza kabla ya kuangalia yakwetu.
 
Back
Top Bottom