Kuna habari ziliandikwa na gazeti la MWANANCHI jnne kwamba wafanyakazi 40 wa mgodi wa geita walifoji vielelezo na kujipatia mamilioni toka nssf huku wakiendelea na kazi kinyume cha sheria iliyoanzisha mfuko huu,habari zinaeleza hawa watu hawajachukuliwa hatua yoyote pamoja na kujulikana pengine kwa kuogopa ukwasi wao au madaraka waliyonayo kimgodi,naomba wataalam wa sheria hapa jf watudadavulie mtu mwenye kutenda kosa hili anaweza kabiliwa na adhabu gani?