Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno.
Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo.
Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna jasho na damu kwenye hela za watu?
Acheni utani na maisha ya watu,endesheni maisha yenu lakini muangalie maisha ya wengine wanaohitaji huduma kwenu.
Badilikeni, nchi ni yetu sote