NSSF Ubungo, baada ya kukamilisha taratibu inachukua muda gani kupata mafao ya mkupuo?

  • Thread starter Thread starter guest-1787486720
  • Start date Start date
G

guest-1787486720

Guest
Habari ndugu zangu, naomba msaada.

Niliwasilisha ombi la mafao ya mkupuo (lump sum) NSSF tarehe 31 Julai, na namshukuru Mungu nilifanikiwa kutoa alama za vidole tarehe 10 Agosti katika ofisi ya NSSF Ubungo.

Naomba kujua, kwa kawaida huchukua muda gani kupata mafao baada ya kukamilisha hatua ya kutoa alama za vidole? Niko katika hali ngumu kifedha na nina wasiwasi kuhusu kodi ya nyumba, hivyo ningependa kujua ni muda gani ninaweza kutarajia kupata malipo yangu.

Naomba mwenye taarifa sahihi anisaidie.
 
Error tena kwa namna gani??
Samahani
Technical Error NSSF ni kitu cha kawaida sana hata baada ya fingerprint kuisoma, mfano, unaweza kukuta kuna data mismatch kati ya majina ya kwenye ID yako na yale yaliyopo kwenye mfumo wa benki yako, hapo mchakato unastuck au utakuta ule mfumo wao wa online claim unashindwa ku-link na kile kidole ulichoweka Ubungo kwa sababu ya network glitch, inabidi IT wao waanzishe upya verification, omba mifumo isilete u-bwege huo, maana delay yake sio ya nchi hii!
 
Error tena

Vipi Mkuu, Ulifanikiwa kupata mafao yako? Maana sasa ni Tarehe 29. Na kama ulifanikiwa ilikuchukua siku ngapi kupata?? Na kama hukupata , Je kulikuwa na Error Gani??
 
Kuanzia sasa uwe unaamka na NSSF Mobile App mkononi kucheki kama status imebadilika kwenda Payment Approved. Isipobadilika ndani ya wiki mbili zijazo, jua kuna ka-error kameshaingia, na itabidi urudi Ubungo kupiga kambi.
Mimi yangu toka tarehe 14 nilivyoweka fingerprint imegomea claim processing imeandikwa pending ,juzi ijumaa nikawatimbia ofisini kwao wanichekie kwenye mifumo yao ya ndani kuwa fao langu limefikia wapi,wakaniambia liko kwenye payment stage,nikawa mpole coz waliniambia malipo ni ndani ya mwezi mmoja,so nasubiri 14 September ifike halafu nione kama itakua bado.
 
Kazi kubwa imeshamalizika. Changamoto kubwa huwa ni kwenye uhakiki Mkuu.
 
Mafao ya NSSF yapo makundi mawili:-

1.SKilled Jobs:-Kwa Skilled Jobs huyo inachukua miezi mitatu kupata mafao yake(Siku 90) eg Doctor ,Engineer
2.Unskilled Jobs:-Kwa unSkilled Jobs huyo inachukua week tatu hadi nne..eg Cleaner ,Driver ,Security Guard

SIjajua wewe upo kwenye category gani?
 
Technical Error NSSF ni kitu cha kawaida sana hata baada ya fingerprint kuisoma, mfano, unaweza kukuta kuna data mismatch kati ya majina ya kwenye ID yako na yale yaliyopo kwenye mfumo wa benki yako, hapo mchakato unastuck au utakuta ule mfumo wao wa online claim unashindwa ku-link na kile kidole ulichoweka Ubungo kwa sababu ya network glitch, inabidi IT wao waanzishe upya verification, omba mifumo isilete u-bwege huo, maana delay yake sio ya nchi hii!

Ni branch gani? Wakishafanya claim process na approval payment ni ndani ya siku 2 hadi 3. Na kama wangekuwa wamefanya claim process na approval ungeona kwenye mfumo. Kikubwa subiria mpaka tarehe 14 September kama bado uende
 
Kibaha pwani
 
Mimi yangu toka tarehe 14 nilivyoweka fingerprint imegomea claim processing imeandikwa pending ,juzi ijumaa nikawatimbia ofisini kwao wanichekie kwenye mifumo yao ya ndani kuwa fao langu limefikia wapi,wakaniambia liko kwenye payment stage,nikawa mpole coz waliniambia malipo ni ndani ya mwezi mmoja,so nasubiri 14 September ifike halafu nione kama itakua bado.

Vipi mkuu ulifanikiwa?
 
Vipi Mkuu ulishapata mafao?
 
Back
Top Bottom