Habari za uhakika toka NSSF ni kwamba majibu ya interview ya kwanza yatachukua muda kutoka. Ukweli ni kwamba baada ya watu wengi kulalamika kutopata taarifa mapema ya interview especially wa mikoani, NSSF wameamua kuwafanyia interview nyingine ambayo inategemewa kufanyika Jumamosi hii. Kwa hiyo majibu yatachanganywa na watu watakaofanya interview ya pili "writen" kwa wale ambao hawakufanya. Kwa hiyo basi wadau vuteni subira ya kamwezi kengine ama zaidi, ili kuja mstakabali wa watakao vuka mto wa kwanza na kuingia kwanye kinyang'anyilo cha ORAL. Kila rakheli wadau.