Nssf vp

Nssf vp

Twayasubili kwa hamu sana nathani yatachukua muda kidogo kutoka
 
Wadau pia nami nahitaji kujua juu ya Muhimbili vp walitoa nafasi za kazi kama NSS lakini wao kimya mpaka leo au wadau walishaitwa ktk interview ktk kada ya Uhasibu na Ugavi
 
habari wadau,naomba kuuliza wadai kam kuna mtu yeyote amepigiwa na NSSF leo,tarehe february 9.kwa sababu nimepigiwa simu na mtu ananiambia yeye anapiga simu kutoka NSSF na kuniulza kama nimefanya interview ya written.
 
Habari za uhakika toka NSSF ni kwamba majibu ya interview ya kwanza yatachukua muda kutoka. Ukweli ni kwamba baada ya watu wengi kulalamika kutopata taarifa mapema ya interview especially wa mikoani, NSSF wameamua kuwafanyia interview nyingine ambayo inategemewa kufanyika Jumamosi hii. Kwa hiyo majibu yatachanganywa na watu watakaofanya interview ya pili "writen" kwa wale ambao hawakufanya. Kwa hiyo basi wadau vuteni subira ya kamwezi kengine ama zaidi, ili kuja mstakabali wa watakao vuka mto wa kwanza na kuingia kwanye kinyang'anyilo cha ORAL. Kila rakheli wadau.
 
Ngoja tusubili.....Kama ni transparent .....
 
hapana yametoka yale majina NANE tu ya mh. Maige mengine yatatoka baadae.
 
Back
Top Bottom