NSSF wabadili sheria yao ya kutoa mafao

NSSF wabadili sheria yao ya kutoa mafao

Jr Lazaro

Member
Joined
Sep 16, 2021
Posts
9
Reaction score
25
Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?

Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?

Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?

Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
 
Wala hata usigombane nao, Watu wanatumia short cut kupata mpunga wao mapema Kabisa. Ni rahisi sana
 
Hapo lazoma uhonge sasa huo si ujinga yani hela yako kupata had utoe hongo. Hii sheria ibadilishwa kama mtoa mada anavyosema kwa sababu kuna kazi watu wanafanywa kama watumwa na masimango kibao inafika muda unatamani uache ukafanye mambo mengine.
 
Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?

Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?

Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?

Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
Pawepo na mashirika mengine yenye ushindani
 
Tatizo CCM na washirika wao hawaoni hata aibu kuibia watu mchana kweupe. Huu ni wizi na unyang'anyi uliohalalishwa na wanajiita wawakilishi wa wananchi pale Dodoma kwa kuingiza hicho kipengele cha kwamba hadi mlengwa afikishe miaka 55+ ndio apewe mafao yake. Hili ni jasho la mtu toeni pesa za watu mara moja wanapozitaka.

Kama hamna maarifa ya kuzitumia kwa manufaa hata kwa mwezi mzima tangu mnapozipata basi hata hiyo miaka 55 bado mtakutwa hamjafanya lolote la kuimarisha uchumi wa mfuko. Achieni pesa za wenyewe wakazitumie kwa maendeleo yao.

Jitambueni kwa kuanzisha miradi yenye kuvutia wateja na kuingiza faida na siyo hayo madaraja na maghorofa uchwara.
 
Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?

Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?

Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?

Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
Hii sheria wakati inajadiliwa bungeni Mhe Easter Bulaya na wengine wachache walipambana vikali kuipinga lakini bahati mbaya wafanyakazi huku mitaani wakawa hawana time, wako bize kumsifia jiwe wakati huo. Kuja kushtuka tayari keusi kekundu watu wanakumbuka shuka kumekucha... hatutaki kabisa kufuatilia miswaada yenye athari kama hii ikiletwa bungeni.
 
Bunge la Mwenda zake lilishamaliza kazi. Utanataka nini tena?
 
Hii sheria wakati inajadiliwa bungeni Mhe Easter Bulaya na wengine wachache walipambana vikali kuipinga lakini bahati mbaya wafanyakazi huku mitaani wakawa hawana time, wako bize kumsifia jiwe wakati huo. Kuja kushtuka tayari keusi kekundu watu wanakumbuka shuka kumekucha... hatutaki kabisa kufuatilia miswaada yenye athari kama hii ikiletwa bungeni.
Nakumbuka sana wazalendo halisi waliikataa wakatoa mapendekezo lakini wapi.
Hii mifuko inaonekana ni madili ya watu.
 
Hapo lazoma uhonge sasa huo si ujinga yani hela yako kupata had utoe hongo. Hii sheria ibadilishwa kama mtoa mada anavyosema kwa sababu kuna kazi watu wanafanywa kama watumwa na masimango kibao inafika muda unatamani uache ukafanye mambo mengine.
Alibadilisha mzee wa chato ilia akwapue pesa nssf ili watu wafe na stress moto umkolee huko alipo god damn it
 
Hapo lazoma uhonge sasa huo si ujinga yani hela yako kupata had utoe hongo. Hii sheria ibadilishwa kama mtoa mada anavyosema kwa sababu kuna kazi watu wanafanywa kama watumwa na masimango kibao inafika muda unatamani uache ukafanye mambo mengine.
HAPANA, wewe jiandikishe Tu Kwenye fao la hiari, then mafao yako yatahamishiwa huko, utakaa kama miezi miwili au mitatu utawaambia najitoa kwenye fao la hiari naomba michango yangu. Full stop, sikwambii Tena
 
Umenisanua
HAPANA, wewe jiandikishe Tu Kwenye fao la hiari, then mafao yako yatahamishiwa huko, utakaa kama miezi miwili au mitatu utawaambia najitoa kwenye fao la hiari naomba michango yangu. Full stop, sikwambii Tena
Umenisanua
 
Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?

Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?

Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?

Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
Ndio maana kabla ya kuwa mwanachama unapewa vigezo na masharti vya kuzingatia ukilielewa Hilo utajua ni nini unazungumza.
 
Kma ulikuwa hujui , Mafao yanalipwa kama biashara ya upate , wale wa mwanzo wanachangia wa mwisho , pesa yako itbaki kweny maandishi tu ila sio cash .

Kwa sababu hakuna biashara za maana za kupata pesa , hiyo sehemu serikali inakopa pia na kurudisha ni kimbembe.
 
Back
Top Bottom