Wala hata usigombane nao, Watu wanatumia short cut kupata mpunga wao mapema Kabisa. Ni rahisi sanaKwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?
Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?
Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?
Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
Hapo lazoma uhonge sasa huo si ujinga yani hela yako kupata had utoe hongo. Hii sheria ibadilishwa kama mtoa mada anavyosema kwa sababu kuna kazi watu wanafanywa kama watumwa na masimango kibao inafika muda unatamani uache ukafanye mambo mengine.Wala hata usigombane nao, Watu wanatumia short cut kupata mpunga wao mapema Kabisa. Ni rahisi sana
Pawepo na mashirika mengine yenye ushindaniKwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?
Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?
Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?
Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
Sentensi tataUkisoma kichwa Cha Mada, unaweza kudhani tayari Kuna mabadiliko.
Kweli uandishi kazi.
Hii sheria wakati inajadiliwa bungeni Mhe Easter Bulaya na wengine wachache walipambana vikali kuipinga lakini bahati mbaya wafanyakazi huku mitaani wakawa hawana time, wako bize kumsifia jiwe wakati huo. Kuja kushtuka tayari keusi kekundu watu wanakumbuka shuka kumekucha... hatutaki kabisa kufuatilia miswaada yenye athari kama hii ikiletwa bungeni.Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?
Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?
Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?
Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
Nimekimbilia uzi chap baada ya kusoma kichwa cha habari, nikajua kuna neema imetushukia😭😭, kumbe vice versa is true 😆😆😆Ukisoma kichwa Cha Mada, unaweza kudhani tayari Kuna mabadiliko.
Kweli uandishi kazi.
Bunge la Mwenda zake lilishamaliza kazi. Utanataka nini tena?Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?
Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?
Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?
Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
Nakumbuka sana wazalendo halisi waliikataa wakatoa mapendekezo lakini wapi.Hii sheria wakati inajadiliwa bungeni Mhe Easter Bulaya na wengine wachache walipambana vikali kuipinga lakini bahati mbaya wafanyakazi huku mitaani wakawa hawana time, wako bize kumsifia jiwe wakati huo. Kuja kushtuka tayari keusi kekundu watu wanakumbuka shuka kumekucha... hatutaki kabisa kufuatilia miswaada yenye athari kama hii ikiletwa bungeni.
kabisaa amenikhera mopaka mimiUkisoma kichwa Cha Mada, unaweza kudhani tayari Kuna mabadiliko.
Kweli uandishi kazi.
Alibadilisha mzee wa chato ilia akwapue pesa nssf ili watu wafe na stress moto umkolee huko alipo god damn itHapo lazoma uhonge sasa huo si ujinga yani hela yako kupata had utoe hongo. Hii sheria ibadilishwa kama mtoa mada anavyosema kwa sababu kuna kazi watu wanafanywa kama watumwa na masimango kibao inafika muda unatamani uache ukafanye mambo mengine.
HAPANA, wewe jiandikishe Tu Kwenye fao la hiari, then mafao yako yatahamishiwa huko, utakaa kama miezi miwili au mitatu utawaambia najitoa kwenye fao la hiari naomba michango yangu. Full stop, sikwambii TenaHapo lazoma uhonge sasa huo si ujinga yani hela yako kupata had utoe hongo. Hii sheria ibadilishwa kama mtoa mada anavyosema kwa sababu kuna kazi watu wanafanywa kama watumwa na masimango kibao inafika muda unatamani uache ukafanye mambo mengine.
UmenisanuaHAPANA, wewe jiandikishe Tu Kwenye fao la hiari, then mafao yako yatahamishiwa huko, utakaa kama miezi miwili au mitatu utawaambia najitoa kwenye fao la hiari naomba michango yangu. Full stop, sikwambii Tena
Ndio maana kabla ya kuwa mwanachama unapewa vigezo na masharti vya kuzingatia ukilielewa Hilo utajua ni nini unazungumza.Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?
Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa NSSF na sio mwanachama. Kwanini mtu anayefukuzwa au kuachishwa kazi na muajiri ndiyo anapaswa kupewa?
Kwahiyo tuseme kuwa mtu hana haki ya kuacha kazi na akastahili kupewa fedha yake akaendelea na maisha mengine?
Inakuwaje hela mlizokata kwneye mshahara wangu mnipangie namna ya kuzichukua? Kwann nisichukue wakati wowote?
Ni kweli, lakini si salama. Likibumbuluka inakula kwa wote waliohusikaWala hata usigombane nao, Watu wanatumia short cut kupata mpunga wao mapema Kabisa. Ni rahisi sana