Tetesi: NSSF yawatangazia wafanyakazi wa Bulyankhulu Gold Mine kuchukua mafao yao baada ya kufikisha umri wa miaka 55

STRIKER18

Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
61
Reaction score
14
Wadau poleni na kazi ya kukabiliana na hali zenu.

Kuna tetesi kwamba NSSF wamefanya kikao jana tarehe 11/09/2017 na wafanyakazi wa Bulyankhulu Gold mine ambao wapo kwenye list ya redundancy na kuwataarifu kuwa watachukua fao lao la kujitoa mara watakapofikisha umri wa miaka 55.

Yeyote ambae anataarifa kamili tunaomba update
 
Jamani mnafikir tutarudishaje ndege yetu?
 
Weka official report hapa
Kwanini usiwapigie simu NSSF


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani hao walikuwa na exception? si sheria ina cut across?
 
mbona mafao nssf wanatoa...

juzi tu watu tumechukua mafao...

hizo nssf gani zinazuia mafao???
 
wacha waje wenye taarifa kamili ila hii nssf ni uonevu wa hali ya juu
 
Na hawa nao wamepiga dili gani tena mpaka wawekwe kwenye list ya kuishi kama mashetani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…