NSSSF malipo huchukua muda gani ?

NSSSF malipo huchukua muda gani ?

ciana barbie

New Member
Joined
Oct 24, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu wapendwa,

Samahani kwa anaejua inachukua muda gani kulipwa malipo ya NSSSF baada ya kukusanya document zote!

Maana mimi nilikua nafanya private sector nimemaliza mkataba tangu mwezi wa 9 mwaka huu,
Msaada kwa anaejua tafadhali🙏
 
hazi

Hazifiki wiki 2 kama kila kitu kilo sawa
 
Habari zenu wapendwa,

Samahani kwa anaejua inachukua muda gani kulipwa malipo ya NSSSF baada ya kukusanya document zote!

Maana mimi nilikua nafanya private sector nimemaliza mkataba tangu mwezi wa 9 mwaka huu,
Msaada kwa anaejua tafadhali🙏
halafu umechelewa Siku hizi un ada I baada ya mwezi mmoja
 
Unapomaliza mkataba baada ya siku 30 unatakiwa kuomba fomu ya fao LA KUJITOA..
Lakini unapaswa kuhakikisha kuwa michango yako yote IPO sawia..
Kingine kwa Mtu mwenye professional atalipwa kwa kikokotoo kwa asilimia 33 ya mshahara wako wa mwisho kwa kipindi cha miezi Sita..
Maana ndani ya kipindi iko wanaamini kuwa unaweza kuwa umepata ajira sehemu nyingine baada ya miezi 6 hapo utatakiwa kusubili kwa miezi 18 yani mwaka mmoja na nusu kama bado haujapata kazi basi utaomba upya fao LA KUJITOA na hapo utaquarify kulipwa pesa yako yote..
Ila kama hauna professional yani ni kama kibarua katika kampuni na kadharika baada ya kuhakiki michango yako ukifungua tu madai basi ndani ya week 3 za kazi unalipwa pesa yako yote..
KIPINDI IKI PESA ZINALIPWA SANA TOFAUTI NA AWAMU ILIYOPITA..
 
Back
Top Bottom