ciana barbie
New Member
- Oct 24, 2024
- 1
- 1
Hazifiki wiki 2 kama kila kitu kilo sawaHabari zenu wapendwa,
Samahani kwa anaejua inachukua muda gani kulipwa malipo ya NSSSF baada ya kukusanya document zote!
Maana mimi nilikua nafanya private sector nimemaliza mkataba tangu mwezi wa 9 mwaka huu,
Msaada kwa anaejua tafadhali🙏
halafu umechelewa Siku hizi un ada I baada ya mwezi mmojaHabari zenu wapendwa,