NSSSF wanavyotuumiza wanachama

Shida ni moja tu aliyewapandishia wabunge mishahara ndio kawafumba macho! Manake pia nssf yao wanalamba hapo hapo after 5yrs na kiinua mgongo pia,sisi wanyonge tuendelee kula nyasi mpk aliki zikiamka kwa sasa bado sana.
 
Hilo ni gumu, maana kufukuzwa kazi huwa kunaendana na fidia ya mshahara wa mwezi mmoja mbele bila kufanya kazi.

Ndio maana makampuni mengi huwa yana tabia ya kuku- frustrate wewe ndio uandike barua ya kuacha kazi ili yakwepe hasara.
Daaaah aisee.
 
Mkuu kwanza na mimi naomba kukufahamisha jambo, navyo fahamu NSSF ni Mfuko wa Hifadhi ya jamii na sio taasisi ya kifedha na kwa kua sio taasisi ya fedha michango unayoweka sio ya kuichukua tu kwa sababu umetimiza malengo yako lakini unawekewa ili fedha hizo zije kukusaidia kipindi ambacho utakuwa hauna nguvu tena za kufanya kazi. Si tutakuwa tumeelewana wandugu
 
Mkuu ulikuwa umevaa barakoa ?

Mkuu ulizani maisha ni marahisi hivyoo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usiache kazi subiri kazi ikukatae mkuu
 
Hii comment inatakiwa iwekwe lamination,na ww upewe ulinzi[emoji16]

Sent from my itel A16 Plus using JamiiForums mobile app
 
Awamu zilizopita mbona wanachama hawakuumizwa
 
Awamu zilizopita mbona wanachama hawakuumizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…