NTA level ya mtu aliemaliz Form Four ni ipi?

NTA level ya mtu aliemaliz Form Four ni ipi?

Joined
Jun 5, 2019
Posts
55
Reaction score
34
Wakuu naomba kujuzwa NTA level la muhitimu wa Kidato cha Nne kwa mtu anaye apply Chuo cha Diploma
 
Form six na form four wrote mnaanzia NTA level 4,certificate anaishia level 5 na diploma level 6,wote mnasoma darasa moja masomo hayo hayo
 
Muhitimu wa kidato cha NNE ataanzia NTA level 4(certificate) mwaka mmoja na kisha kuendelea diploma miaka 2,ambayo ni NTA level 5&6.
 
Walivyosema wakuu hapo juu ni sawa. Angalizo-inaelekea NACTE wanabadili packeging ya hizo level course nyingi (2020-see NACTE Admission Guide) ni 3 years Diploma ambazo zinarun kama a single diploma course na kila mwaka ukiwa level yake.
 
Shukran mkuu
 
Form four ni Level IV ya National Qualifications Framework (NQF). Sifahamu NQF Ilipofikia kwenye utekelezaji.
 
Back
Top Bottom