Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,444
Wadau kwema?
Nina shida ya kupata garage nzuri yenye fundi mahiri wa umeme wa magari pamoja na fundi mzuri wa body.
Gari yangu ni Subaru Forester SJ5 (2015). Mara ya mwisho nilikuwa na tatizo la gari kugoma kuwaka linapoingia kwenye maji. Baada ya uchunguzi, nimebaini kuwa maji yanaingia kwenye baadhi ya components za umeme pamoja na ndani ya gari.
Hivyo, nahitaji fundi mzuri wa body atakayeweza kukaza na kuziba sehemu zote zinazovujisha maji ili kuzuia maji kuingia ndani ya gari, pamoja na fundi mzuri wa umeme atakayeweza kufanya uchunguzi wa kina (comprehensive check) wa mfumo mzima wa umeme wa gari.
Naomba mnisaidie kunielekeza au kuniunganisha na garage au mafundi wazuri waliopo Geita au Mwanza. Itakuwa vizuri zaidi kama nitapata mafundi waliobobea kwenye magari ya Subaru.
Natanguliza shukrani zangu