Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Tunafahamu baada ya mahakama ya mauaji ya kimbari kumaliza shughuli zao Arusha tunafahamu kuna kitu kikubwa Arusha kilipungua yaani ile Multiplier effects iliyokuwa inatokana na mahakama iliondoka
Kama nchi kuna faida kubwa sana kuwa na ofisi za mashirika makubwa ya dunia kama nilivyosema hapo juu kupitia wafanyakazi wake ambao wengi wao wanalipwa vizuri kwa hiyo wanachangia pa kubwa sana kwenye mzunguko wa fedha, Multiplier effects na kodi kwa serikali kuu
NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MAZINGIRA YA MASHIRIKA YA KIMATAIFA KUFUNGUA OFISI ZAKE HAPA TANZANIA NA NTAFANYA MAMBO YAFUATAYO

- Watakuwa hawaingiliwili kazi zao
- Watapewa subsidy kwenye kurent ofisi na hii itaendana na kujenga ofisi za kisasa
- Kutakuwa na mifumo imara ya utoaji haki nchini
- Haki za binadamu zitaheshimiwa na kulindwa