Ntaifanya Tanzania kuwa safi na yenye ustaarabu mkubwa sana

Mambo hayafanyiki kwa kusema NITAFANYA.

Nataka

Itakuwa



Mikakati ZERO.

Hata ukitaka kwenda Kenya, lazima ujue njia ya kupita.
 
Mambo hayafanyiki kwa kusema NITAFANYA.

Nataka

Itakuwa



Mikakati ZERO.

Hata ukitaka kwenda Kenya, lazima ujue njia ya kupita.
Hao wenye mikakati mbona wameshindwa kuifanya nchi safi tokea uhuru nchi inanuka kwa uchafu, kila kona unakutana na machupa ya maji na juice yemetupwatupwa hovyo,
 
Hao wenye mikakati mbona wameshindwa kuifanya nchi safi tokea uhuru nchi inanuka kwa uchafu, kila kona unakutana na machupa ya maji na juice yemetupwatupwa hovyo,
  • Unalipa ada ya taka??
  • Unajitokeza kufanya usafi maeneo ya umma??
  • Hutupi taka ovyo?

Au unataka ukilala tu, ukiamka.ukiye taka zimetoka zenyewe??
 
  • Unalipa ada ya taka??
  • Unajitokeza kufanya usafi maeneo ya umma??
  • Hutupi taka ovyo?

Au unataka ukilala tu, ukiamka.ukiye taka zimetoka zenyewe??
Mimi naongelea nchi kama nchi sasa wewe hunijui ila umeamua kunilenga hayo yote mimi nafanya inshort spending uchafu

Inamaana hujaona niliposema takataka ziwe zinachukuliwa kwa mda yaani hujaona kabisa alafu unajitoa ufahamu

yaani umeona utunge uongo eti unasema kabisa "unataka ukilala tu, ukiamka ukite taka zimetoka zenyewe" try to be smart

Naomba unijibu swali langu mbona hao wenye mikakati wameshindwa kuifanya nchi kuwa safi sababu umentuhumu sina mikakati
 
Post receipt moja hapa, kuhusu ada ya taka uliyolipa
 
Deo kisandu ni kaka yako au swahiba wako ?
 
Si uombe ubwana Afya tu hapo!??? Ama ndo wajibu na majukukumu mapwa kwa Rais!?
 
Sasa uwe rais udeal na usafi?? Unajua majukumu ya makamu wa Rais ama umeandika tu. Yaani ugombee urais uje kudeal na usafi!? Ungeanza na ujumbe wa nyumba kumi mtaani kwanza!!
Rais lazima awe na vision karibia kwenye kila eneo mbona magufuli alisema kila jumamosi ya mwisho mwisho wa mwezi ni siku ya usafi

Jambo la kufahamu ni kwamba watanzania sio wastaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…