babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Black au MTU mweusi ni jamii duni.Rais lazima awe na vision karibia kwenye kila eneo mbona magufuli alisema kila jumamosi ya mwisho mwisho wa mwezi ni siku ya usafi
Jambo la kufahamu ni kwamba watanzania sio wastaarabu
Kwanini fundi ujenzi, makenikia wa nchi nyingine ni wasafi wamewezajeTatizo ni kwamba we kama ni mfanya usafi huwezi kuwa rais.
Pili fundi ujenzi ,makenika, kibaka, boda sa ngapi afanye usafi wakati ye kila muda kwake mitihani tu.
Watanzania wengi wanadhania ustaarabu utakuja tu automatically hata maendeleo yatakuja tu automatic bila hata ya kuwa na mipango yaani tunajamii inayoamini kwenye miujizaBlack au MTU mweusi ni jamii duni.
Ni wachafu wa kawaida tu labda useme mazingira hayaruhusu kuchafuaKwanini fundi ujenzi, makenikia wa nchi nyingine ni wasafi wamewezaje
Huko ntafikaRaisi umesahau na kupanda miti
Ukifika huku ni tag bwasheeHuko ntafika