kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Mzee kilomoni ulihoji, wakatengeneza zengwe, ila ulisimama kidete kutetea timu na masilahi yake.
Wapo vijana wanajiita wasomi wa vyuo vikuu, hawataki kuhoji, kuuliza wala kufukiri... tunataka kujua asilimia 49% za mwekezaji, pesa ipo wapi?
Kwanini wanakua wakali ukihoji? Kwanini huyu 'kanjibahi' anakua mkali ukihoji pesa? Jamani kwa namna hii tunatofautiana vipi na chief Magungo wa Msovero?