hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Mzee kilomoni ulihoji, wakatengeneza zengwe, ila ulisimama kidete kutetea timu na masilahi yake.
Wapo vijana wanajiita wasomi wa vyuo vikuu, hawataki kuhoji, kuuliza wala kufukiri... tunataka kujua asilimia 49% za mwekezaji, pesa ipo wapi?
Kwanini wanakua wakali ukihoji? Kwanini huyu 'kanjibahi' anakua mkali ukihoji pesa? Jamani kwa namna hii tunatofautiana vipi na chief Magungo wa msovero?
Hawez kuuliza because hata ela ya usajili hawajui inatoka wapi
Wala ela salary na timu kuweka kambi hawajui inatoka wapi
Sasa unaanzaje kuulizia hizo 20B?