Ntakukumbuka Mzee Kilomoni, elimu ndogo ila akili za kutosha. Mo bado hajaweka pesa zetu


Hawez kuuliza because hata ela ya usajili hawajui inatoka wapi

Wala ela salary na timu kuweka kambi hawajui inatoka wapi

Sasa unaanzaje kuulizia hizo 20B?
 
Ni huzuni kuu sana.
 
Nyie mmefunguliwa hapo utopoloni?
Mna mchezaji hewa tangu asajiliwe hajacheza hata mechi moja na bado anakula mshahara bure
Usipindishe mada... pesa za mwekezaji zipo wapi? Tunajificha kwenye vivuli vya Yanga na kuingia makundi Africana.
 
Huna hoja ya msingi umeandika utumbo! Badala ya kuhoji 51% iko wapi na inafanya kazi gani unahoji 49% ya mtu ambaye analea timu na kusajili wachezaji! Kweli akili si nywele!
Huna unachokijua kuhusu transformation ya club, Rage alisema lakini kua wengi wetu ni mbumbumbu.
 
Eti PESA ZETU!!!?? tafuta ada za watoto.

Aden Rage alipowaita MBUMBUMBU mlinuna, hivi unajua MoDewji anatumia na ametumia sh.ngapi hapo Simba?
Sitaki kujua, kwenye club transformation tuliyoifanya wajibu wa Mo unajulikana, je ameufanyia kaz?
 
[emoji1787][emoji1787]kumbe mmejaa yanga kuulizia hela za simba ...pambaneni na hali yenu
 
Yessss.. kumbe tuna watu wanaelewa maana ya investment, mashabiki maandazi hawataelewa.
 
Wakuu muwe ns akili japo kidogo, Mudi alishasema pesa haipelekwi simba bali inatumika kununua bonds then kitakachopatikana kutokana kutokana na kununua bonds ndio kinatumika simba
 
Hawez kuuliza because hata ela ya usajili hawajui inatoka wapi

Wala ela salary na timu kuweka kambi hawajui inatoka wapi

Sasa unaanzaje kuulizia hizo 20B?
Timu ina udhamini wa billions kutoka meridian bet, zamani walikuepo sports pesa, je pesa zilienda wapi?
Unajua timu ilipofika hatua ya mtoano mwaka jana ilivuna bilioni ngap?

Je unajua get collections ya mwaka jana tulipata kiasi gani? Je unajua kua Mo anajitangaza yeye na biashara zake kupitia simba? Unajua thamani ya kukaa kwenye jezi? Bas acha...
 
Wakuu muwe ns akili japo kidogo, Mudi alishasema pesa haipelekwi simba bali inatumika kununua bonds then kitakachopatikana kutokana kutokana na kununua bonds ndio kinatumika simba
Mchakato wa club transformation ulisema hivyo? Kwanini asiweke hyo pesa then board of directors na management ndio waamue kuwekeza kwenye bonds au vitu vingine vyenye masilahi? Yeye mo anajipangiaje pesa ya uwekezaji aliyopaswa kuitoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…