Natamani kuuza bidhaa za MCL ili niwe nachukulia Mwanza kwani ni karibu na huku kwetu kuliko kufuata Dar es salam. Kama kuna mtu anafahamu walipo Mwanza anisaidie anwani halisi (Mtaa na jina la agent). Natanguliza shukrani.
Tuna kampuni yetu ya kununua na kuagizia watu bidhaa zao kutoka dar kwenda sehem yoyote ile Tanzania. Faida ya kununulia Dar ni kwamba unapata kwa bei ya chini hivyo unaweza kupata faida kubwa. Kama upo interested niPM