Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkubwa
Tuna kampuni yetu ya kununua na kuagizia watu bidhaa zao kutoka dar kwenda sehem yoyote ile Tanzania. Faida ya kununulia Dar ni kwamba unapata kwa bei ya chini hivyo unaweza kupata faida kubwa. Kama upo interested niPM