Shabby kng
Member
- Jul 4, 2013
- 41
- 6
Habarini wana jamii forum mimi nauluza kuhusu hizi joining instruction za chuo baada ya kua selected je unatumiwa kwenye email yako au utaipata wapi na je huwa zinakawia sana au saelection zikitoka na zenyewe zinatoka hapohapo
majibu yako hayana busara maana kama kitu sikijui ni vizuri kunielekeza ndo ubinadamu kama nimekukwaza kwenye hiyo post yangu basi nisamehe mkubwa maana sipendi malumbano na mtuutaiokota jalalani
Umeona eeh uo ndo utaratibu wa kumwelekeza mtu maana hili jukwaa ni kwa ajili ya kufunguana vichwa na kuelekezanaNafikir ni vyema na haina gharama kumjibu mtu kistaarabu
sawa mkubwa nimekuelewa nitaiita admission letter umenifunguaunaweza kuidownload kwny web yao au ukiikosa huko unawa email wakutumie.,afu inaitwa admission letter hizo mambo za joining instruction ni huko huko primary zinduka jamaa..!