Ntapata wapi joining instruction ya chuo kikuu nilichochaguliwa

Shabby kng

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Habarini wana jamii forum mimi nauluza kuhusu hizi joining instruction za chuo baada ya kua selected je unatumiwa kwenye email yako au utaipata wapi na je huwa zinakawia sana au saelection zikitoka na zenyewe zinatoka hapohapo
 
unaweza kuidownload kwny web yao au ukiikosa huko unawa email wakutumie.,afu inaitwa admission letter hizo mambo za joining instruction ni huko huko primary zinduka jamaa..!
 
kwenye tovuti ya chuo husika mpaka sasa vyuo vyote vimeshatoa tembelea tu tovuti yake uione
 
unaweza kuidownload kwny web yao au ukiikosa huko unawa email wakutumie.,afu inaitwa admission letter hizo mambo za joining instruction ni huko huko primary zinduka jamaa..!
sawa mkubwa nimekuelewa nitaiita admission letter umenifungua
 
jaman mambo ya joining instruction umewaachia wadogo zako ,,we umekua sasa inabidi kuanzia leo uite admission letter na zinapatikana chuo husika utakachokuwa umechaguliwa na hao NACTE au TCU. NI HAYO TU KIONGOZI:couch2:
 
Back
Top Bottom