Ntapata wapi matunda ya stawberry hapa Dar es Salaam?

FAUMI

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
19
Reaction score
2
habari;

Nahitaji matunda ya straeberry na sijui yanapatikana wapi, mim npo Dar!!

Msaada tafadhali..
 
hivi strawberries zinaitwaje kwa kiswahili..
 
Mtaa wa zanaki , near na ofisi ya tbc ya mjini
 
habari;

Nahitaji matunda ya straeberry na sijui yanapatikana wapi, mim npo Dar!!

Msaada tafadhali..

Nina rafiki yangu analima songea, huwa anayaleta hapa kila mwisho wa mwezi
 
Hapana my dia kawaida tu huyo ni kaka yetu diaspora mwenzetu napenda sana kutaniana nae . Vipi hali lakn ? Hope wazima wote .

Ok ...sie wazima sana tu sijui nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…