Ntapata wapi matunda ya stawberry hapa Dar es Salaam?

Ntapata wapi matunda ya stawberry hapa Dar es Salaam?

Yapo wapi, nimetafuta malls zote sikupata

uliza soko la kisutu uhindini
halafu ukikosa hapo uliza soko la uhindini la DTV...hapo huwezi kosa

Dar ukiwa unaenda Malls tu utakosa mengi
 
Back
Top Bottom