Ntapata wapi TUXIEDO nyeusi kwa bei poa mjini hapa?

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,896
Reaction score
1,214
Salam zenu wadau
Nahitaji zaidi ya pisi sita za suit aina ya tuxiedo nyeusi kwa yyte anaejua duka au fund aniekekeze hapa...
Asanteni

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
picha tafadhari

Kosa n la bibi ako kumfanyia tohala mzaz wako wa kike, hairuhusiw hyo kitu mkuu angalia na ww usikeketwe

umemjibu vyema. Hizi kauli zinawafaa Sana hawa jamaa wanachangia mada mradi Tu kuongeza idadi ya post...umenena vyema
 
Mh...!

Kama upo serious nitafute PM.

Halafu correct spelling ni TUXEDO
 
Kosa n la bibi ako kumfanyia tohala mzaz wako wa kike, hairuhusiw hyo kitu mkuu angalia na ww usikeketwe

Sent from my iPhone using JamiiForums.í-½í´©í-½í´¨

Kosa ni la mama yako kukuzalia gest..ndo maana umekuwa na akili za namna hiyo.
 
umemjibu vyema. Hizi kauli zinawafaa Sana hawa jamaa wanachangia mada mradi Tu kuongeza idadi ya post...umenena vyema

We akili zako utakuwa unaweka kwenye fundus poach huwezi kushabikia matusi...
 
ungekuwa unaakili usingeleta upuuzi kwenye mada za watu. huna cha kuchangia soma mada iache wenye idea watazungumza. hakuna haja ya kuaribu mada za watu kwa michango ya kipuuzi. mnakwaza sana watu wa aina yenu, sijui ni utoto au nini kuendekeza mizaha isiyo na msingi.
 
Kosa n la bibi ako kumfanyia tohala mzaz wako wa kike, hairuhusiw hyo kitu mkuu angalia na ww usikeketwe

Sent from my iPhone using JamiiForums.
kosa lake nini? tena amesema tafadhali.
 
ungekuwa unaakili usingeleta upuuzi kwenye mada za watu. huna cha kuchangia soma mada iache wenye idea watazungumza. hakuna haja ya kuaribu mada za watu kwa michango ya kipuuzi. mnakwaza sana watu wa aina yenu, sijui ni utoto au nini kuendekeza mizaha isiyo na msingi.

Sidhan kama unajua mizaha wewe!! mtu kuomba picha ni mzaha?.....acheni kuabuse watu nyinyi.
 
posta maduka mia kigogo yanayouza tux, mfuko wako tu!
 
Asante mkuu, najua maduka kma mariedo hv, sema ngepata direction ndo njema zaid

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Salam zenu wadau
Nahitaji zaidi ya pisi sita za suit aina ya tuxiedo nyeusi kwa yyte anaejua duka au fund aniekekeze hapa...
Asanteni

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Mkuu nimekupm, unaweza kunipigia tukaongea biashara mkuu. Check pm yako.
 
Noted boss

Back
Top Bottom