Hapana kaka mimi ni mgeni apa Dar nakaa Kimara maeneo mengi siyajui vizuri kama nikipata muongozo wa location ntafika bila kukosa maeneo yoteKaka umeshajaribu kutembelea sehemu hizo physically na CV yako? Kama bado jaribu njia hiyo lakini pia naamini kupitia thread hii utapata msaada wa kutosha kimawazo na hata connections
kaka kwa scenario yako, ningependa kukushauri Jambo hili. Kuna vijana hapo mtaani kwako jaribu kuwa mdadisi pindi unapokuwa nao kijiweni, kupitia hao vijana utaweza kujua mengi hasa katika field yako. Na ukishapata taarifa za kutosha bila kuchelewa anza utekelezaji. Fursa inatafutwa usisubiri ikufikie ulipo, natumaini utafanikiwa siku moja Jambo la msingi usikate tamaa na mshirikishe Muumba wako kwa Imani yako.Hapana kaka mimi ni mgeni apa Dar nakaa Kimara maeneo mengi siyajui vizuri kama nikipata muongozo wa location ntafika bila kukosa maeneo yote
Shukrani kaka ntazingatia yotekaka kwa scenario yako, ningependa kukushauri Jambo hili. Kuna vijana hapo mtaani kwako jaribu kuwa mdadisi pindi unapokuwa nao kijiweni, kupitia hao vijana utaweza kujua mengi hasa katika field yako. Na ukishapata taarifa za kutosha bila kuchelewa anza utekelezaji. Fursa inatafutwa usisubiri ikufikie ulipo, natumaini utafanikiwa siku moja Jambo la msingi usikate tamaa na mshirikishe Muumba wako kwa Imani yako.
Pambana kiongozi, mimi pia napitia situation kama yako.Wakuu habari zenu,
kijana mwenzenu hali sio shwari tena wakuu Jaazi linaelekea kuzama, nilikuwa naomba kwa yeyote yule mwenye mchongo wowote ule wa kuingiza kipato halali naomba aniunganishe.
Na kama kuna mtu anaefanya kazi kiwandani au anajua kiwanda kinachotoa Ajira kwa sasa naomba msaada wenu wakuu. Kielimu nina Degree ya Anthrolopolojia fani yangu ipo sana kwenye {Social Research} tafiti za kijamii.
Kwa yeyote mwenye ushauri au mchango wowote juu ya mada yangu anakalibishwa.
Contact 0687809380
DAR ES SALAAM
Asante sana mkuu mungu akisaidia jumatatu taanza na ayo maeneoPambana kiongozi, mimi pia napitia situation kama yako.
Ila nachokushauri ukienda viwandani usionyeshe cheti chako cha degree. Nenda kama form six au kama una cheti cha ujuzi kama wa warehouse, logistics au sales and marketing ni rahisi kueleweka.
Kwa kuanzia ungeenda Mandela road ile kuna viwanda barabarani vya wahindi maeneo ya ubungo garage mpka TIOT pale nafikiri.