Ntashindwa kulipata dole gumba la mdhamini huyu,nawezaje kumuondoa na fomu nimepakua?

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
824
Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000

Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata.

Nawezaje kubadili mdhamini..?
 
kwani huko alipo hakuna ndege zinazoenda ukamtumia hiyo document aweke dole lake na kisha akakutumia ndani ya siku hiyo hiyo?

gharama ni kama elfu 10 kwenda na kurudi ni elfu 10 ila hii inategemea ni wewe na huyo unayetaka kumtumia yupo sehemu gani ndani ya Tanzania hii.
 
Umewaza vema.
 
Unaweza pia kuiscan hyo form halafu ukamtumia kama document. Naye akaiscan na kutia dole gumba then anafanya the same process kukutumia
 
Alafu unaangaika watoto wa vigogo walisha pewa izo form na weme submit kabla ya Tangazo halijatoka rasmin.
 
Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000

Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata.

Nawezaje kubadili mdhamini..?
[emoji23][emoji23]weka ata dole gumba lako au la dogo lako
 
Nimeona kuna mkuu anasema ameshindwa kuweka dolegumba sababu mdhamini yupo mbali.
Naomba nichangie uzoefu,na wengine pia mchangie..
Kuhusu mdhamini.Kwenye kazi kama hii inayohitaji utambulisho kutoka serikali ya eneo mtu anaishi;
Ni vyema mdhamini akawa kati ya wafuatao;1.Mjumbe
2.Mwenyekit wa Mtaa/kijiji.
3.Mtendaji wa mtaa.
Mtendaji wa kata.
5.Diwani.
6.Kiongozi wa CCM Mtaa/kata,n.k
Najua mtanikosoa namba sita ,kuwa naleta siasa..[emoji2][emoji2]Serikali ni CCm,ndyo mabosi zetu huo ndyo ukweli,na hata kwenye selection hadi interviews ya hizi kazi huwa hawakosekani.
Mawazo yangu hayo.[emoji120]
 
Mkuu kinachohitajika sio wadhifa wa mdhamini na Wala hutaji yeye ni nani 😀
 
Hii kazi imewekwa kwa ajili ya wachache, vigezo viingi visivyo na tija.Kwenye kuchagua mikoa Ni shida
 
Back
Top Bottom