Ntashindwa kulipata dole gumba la mdhamini huyu,nawezaje kumuondoa na fomu nimepakua?

Ntashindwa kulipata dole gumba la mdhamini huyu,nawezaje kumuondoa na fomu nimepakua?

Wakuu naomba kujua kwenye reference mtu yeyote anaweka hata jobless, amejiajiri, au kaajiriwa?
 
katka ukamilishaji wa form unspakia pg ngapi za form no1?
 
Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000

Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata.

Nawezaje kubadili mdhamini..?
Mtumie hiyo pdf kwa njia ya Whatsapp au Email kisha ataidownload then atatia dole gumba, baada ya hapo atakutumia wewe kwa njia ya basi au ndege.
 
Mkuu kinachohitajika sio wadhifa wa mdhamini na Wala hutaji yeye ni nani [emoji3]
Hawajataja,ila ..si lazma maoni yangu yafuatwe..Jaribu kufanya upelelezi binafs utagundua hilo.
Na hii si kwa kazi hii tu..yyte..unapoweka refferee ambaye ana fahamika na hyo taasisi inaleta imani...
 
Hawajataja,ila ..si lazma maoni yangu yafuatwe..Jaribu kufanya upelelezi binafs utagundua hilo.
Na hii si kwa kazi hii tu..yyte..unapoweka refferee ambaye ana fahamika na hyo taasisi inaleta imani...
Mkuu hizi nafasi watu wanaomba online, huyo mwenyekiti wa Kijiji sijui katibu wa ccm hawana msaada. Mungu pekee ndiye wakumtegea, ni miaka Sasa wahitimu wa vyuo wapo mtaani na hawa walipokuwa vyuoni walijiunga na ccm na taarifa zao wanazo lakini Kila mwaka hawapewi hizo ajira.
 
Wilaya zipo ila baadhi ya kata hazionekan
Ukiweka Wilaya ya Ubungo, jimbo la Kibamba huwezi kupata Kata ya Manzese kwa sababu, Kata ya Manzese ipo jimbo la Ubungo.

Ukiweka Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, usitarajie kuona Kata ya Mawenzi, kwa sababu Kata ya Mawenzi ipo Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.

Kiufupi, shule nayo ni tatizo kwa baadhi ya waombaji
 
Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000

Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata.

Nawezaje kubadili mdhamini..?
Kama umeshapakua fomu rudi kwenye username kisha password yako ( yaani kwenye account yako) ukishafungua kuna sehemu wameandika huisha taarifa, kisha unaenda sehemu ambayo unataka kubadili taarifa. Ukimaliza unatuma ili iweze kuja fomu uliyohuisha taarifa za wadhamini ulioweka kwa sasa
 
"Dole gumba tena la mdhamini kwenye maombi ya kazi...
Mbona bongo tunachoshana hivi....
Nasema hivi, wewe kesho amka, vaa kikazi, na nenda kwenye ofisi yeyeto na anza kufanya kazi...Wakiita Polisi na kukupeleka kituoni..ukifika kituoni pia anza kufanya kazi na hapo..

Tumechoka na madole gumba na maombi ya kazi".....
1651957547103.png
 
View attachment 2215980
Nimecheka sanaa
 
Back
Top Bottom