mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Basi sawa kila heri mkuu.
kwani huko alipo hakuna ndege zinazoenda ukamtumia hiyo document aweke dole lake na kisha akakutumia ndani ya siku hiyo hiyo?Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000
Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata.
Nawezaje kubadili mdhamini..?
Umewaza vema.kwani huko alipo hakuna ndege zinazoenda ukamtumia hiyo document aweke dole lake na kisha akakutumia ndani ya siku hiyo hiyo?
gharama ni kama elfu 10 kwenda na kurudi ni elfu 10 ila hii inategemea ni wewe na huyo unayetaka kumtumia yupo sehemu gani ndani ya Tanzania hii.
Nadhani hii itakuwa bora zaidi.Unaweza pia kuiscan hyo form halafu ukamtumia kama document. Naye akaiscan na kutia dole gumba then anafanya the same process kukutumia
[emoji23][emoji23]weka ata dole gumba lako au la dogo lakoNimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000
Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata.
Nawezaje kubadili mdhamini..?
Mkuu kinachohitajika sio wadhifa wa mdhamini na Wala hutaji yeye ni nani 😀Nimeona kuna mkuu anasema ameshindwa kuweka dolegumba sababu mdhamini yupo mbali.
Naomba nichangie uzoefu,na wengine pia mchangie..
Kuhusu mdhamini.Kwenye kazi kama hii inayohitaji utambulisho kutoka serikali ya eneo mtu anaishi;
Ni vyema mdhamini akawa kati ya wafuatao;1.Mjumbe
2.Mwenyekit wa Mtaa/kijiji.
3.Mtendaji wa mtaa.
Mtendaji wa kata.
5.Diwani.
6.Kiongozi wa CCM Mtaa/kata,n.k
Najua mtanikosoa namba sita ,kuwa naleta siasa..[emoji2][emoji2]Serikali ni CCm,ndyo mabosi zetu huo ndyo ukweli,na hata kwenye selection hadi interviews ya hizi kazi huwa hawakosekani.
Mawazo yangu hayo.[emoji120]
Mkuu kinachohitajika sio wadhifa wa mdhamini na Wala hutaji yeye ni nani 😀
Nani kakudanganya watoto wa vigogo wanafanya kazi ngumu kiasi hicho?Alafu unaangaika watoto wa vigogo walisha pewa izo form na weme submit kabla ya Tangazo halijatoka rasmin.