Nokia3D
Member
- Feb 2, 2013
- 74
- 1
Wadau kwanza za saa hizi natumai niwazima.NINAMASHAKA KIDOGO KWA UPANDE WANGU KUHUSU CHUO nachosomea mambo ya INFORMATION TECHNOLOGY AND ENGEENERING
_naombeni mnisaidie JINSI gani naweza kutoka kimaisha na hiyo course??
VITU GANI NIZINGATIE mpaka pale ntakapo fanya graduate ya degree chuo kikuu ??
Waweza nisendia mawaz yako here
kiulassilateJR@twitter.com