sea emperor
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 250
- 116
Pamba sport club enzi za hayati Dominic Chilambo. Paul Rwechungura; Hussein Marsha; Fumo Felcian; Ally Busheri; Kitwana Seleman; Nico Babanga wengine nimrwasahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mao Mkamy, Juma Mhina(Kipa Msaliti kwa Malindi... Alisababisha Jiji la Mwanza kuzizima kimya...,) Abdalah Boli kama Sikosei nae alikuwa Pamba., Madata Lubigisa,Juma Amiri, Chilambo alikuwa Mtangazaji wa RTD, George Masatu,David Mwakalebela,.. Baadae Kina Bita John alikuwa na Jicho Chongo bila kumsahau kipenzi cha Wazenji na Mlandege JINA LIMENITOKA NIKILIKUMBUKA NAJA TENA Watangazaji walikuwa wakisema Goli la Mlandege lilifungwa na kama kawaida...Mchezaji mahili wa Zamani wa Timu ya Pamba Yah Clement KahabukaPamba sport club enzi za hayati Dominic Chilambo. Paul Rwechungura; Hussein Marsha; Fumo Felcian; Ally Busheri; Kitwana Seleman; Nico Babanga wengine nimrwasahau