Nteze John Lungu Shavu Dodo Baada ya Soccer Maisha Marekani.

Pamba sport club enzi za hayati Dominic Chilambo. Paul Rwechungura; Hussein Marsha; Fumo Felcian; Ally Busheri; Kitwana Seleman; Nico Babanga wengine nimrwasahau
 
Pamba sport club enzi za hayati Dominic Chilambo. Paul Rwechungura; Hussein Marsha; Fumo Felcian; Ally Busheri; Kitwana Seleman; Nico Babanga wengine nimrwasahau
Mao Mkamy, Juma Mhina(Kipa Msaliti kwa Malindi... Alisababisha Jiji la Mwanza kuzizima kimya...,) Abdalah Boli kama Sikosei nae alikuwa Pamba., Madata Lubigisa,Juma Amiri, Chilambo alikuwa Mtangazaji wa RTD, George Masatu,David Mwakalebela,.. Baadae Kina Bita John alikuwa na Jicho Chongo bila kumsahau kipenzi cha Wazenji na Mlandege JINA LIMENITOKA NIKILIKUMBUKA NAJA TENA Watangazaji walikuwa wakisema Goli la Mlandege lilifungwa na kama kawaida...Mchezaji mahili wa Zamani wa Timu ya Pamba Yah Clement Kahabuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…