Ntibazonkiza wetu jana amesaidia uwepo wa kelele mjini

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Mbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa kumchukua toka nyumba jirani kawasaidia leo mnabwata hovyo mitaani wakati aliyewasaidia ni kinda letu wenyewe!

Hebu kuweni na utu na utulivu pia onyesheni japo shukrani, na mkizidi kelele dirisha kubwa tunamrudisha, sababu uwezo huo tunao.

Shut up....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Nyie si mna kisinda mambio tambeni wananchiii 🤣🤣
 
Yanga kuna wapumbavu wengi sana
 
Mtamrudisha wakati mmesema mzee,wivu tu,halafu mbona alipokuwa kwenu hakuwahi kufunga hatrick
Kwa Jana ata kisinda angeweza kufunga hatrick,mpira gani ule,na wachazaji pinzani wapo pungufu
 
UMETOKA KUNYONYWA KINYEO UKAAMUA UJE UHARISHE HUMU JAMVINI AU SIO.
 
Saido kabla hata ya kuijua Uto alikuwa huko ulaya akicheza kandanda

Amekuja Uto akiwa na kiwango chake kile kile ila tangu mlipomsainisha pesa ya sandakalawe akaone na yeye acheze kwa kiwango kinachoendana na thamani ile ile ya pesa

Kwa mshahara gani haswa mpaka awafungie hattrick??

Ametua Simba kapewa dili nono na sasa kile kiwango cha ulaya ndio kimeanza rasmi hapa Tanzania.

Nyie endeleeni kuhangaika na wazee wa Yanga kususia bidhaa za Azam ila niwakumbushe tu, ukimkwepa Azam utamkuta MO

Mko tayati kutoa suppport kwa MO??
 
Tangu lini amekuwa Kinda..si mlisema Mzee
 
Mbona nyinyi mlicheza nao hamkufunga hizo goli, niambie msimu huu lini mmefunga 4-0,jibu hamna safu ya ushambuliaji kali
Lini tumecheza na wachezaji pungufu Kama nyie ,Mara ya pili Sasa,ingekua sisi hiyo Jana mtu akalimwa bao kumi
 
Utopolo wenye akili ni wawili tu. Nyie wengine mpo humu kudhihirisha upumbavu na ujinga wenu.

Reference: Manara, H. (2019). Utopolo ni kundi la hamnazo kichwani; utopolo publishers. Pg 1, 2 and 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…