ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa kumchukua toka nyumba jirani kawasaidia leo mnabwata hovyo mitaani wakati aliyewasaidia ni kinda letu wenyewe!
Hebu kuweni na utu na utulivu pia onyesheni japo shukrani, na mkizidi kelele dirisha kubwa tunamrudisha, sababu uwezo huo tunao.
Shut up....
Hebu kuweni na utu na utulivu pia onyesheni japo shukrani, na mkizidi kelele dirisha kubwa tunamrudisha, sababu uwezo huo tunao.
Shut up....