Ntibazonkiza wetu jana amesaidia uwepo wa kelele mjini

Tatizo huyu sio mmwaga radhi na mlamba uchi
 
kwanza waambie hiyo mechi iliharibika baada ya red card,na wajue pia yanga haikumfukuza saidoo,ni yeye aliweka madharti ambayo tusingeeeza kuyakubali na sisi tulimpa masharti ambayo aliyakataa,basi tukaachana kwa amani kabisa

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Mbona nyinyi mlicheza nao hamkufunga hizo goli, niambie msimu huu lini mmefunga 4-0,jibu hamna safu ya ushambuliaji kali
Mbona nyie ndiyo wanyonge wetu?ni sisi pia ndiyo tulimfurusha club africaine ya tunisia huko caf,ni sisi hadi sasa tumefungwa mechi moja tu ktk 56
 
Mtamrudisha wakati mmesema mzee,wivu tu,halafu mbona alipokuwa kwenu hakuwahi kufunga hatrick
Miaka yote mnaponea kwa wachezaji zao letu msimu ulioisha bm 33 aliwasaidia sana cl,na sasa saidoo na huenda mwakani mkaokoteza aziz au mayele halafu mnashangilia kama mazuzu
 
Saidoo kasajiliwa kutoka geita sio utopoloni,acha hizo mkuu
 
Sawa, hata Feisal na Dickson Job ni wenu pia 😆😆 😆
 
... saidoo,ni yeye aliweka masharti ambayo tusingeeeza kuyakubali na sisi tulimpa masharti ambayo aliyakataa,basi tukaachana kwa amani kabisa
na masharti ya Feisal na Dickson Job yakoje? 😆😆😆
 
Kocha wa yanga princess katoka simba
Kocha wa makipa katoka simba
Daktari wenu ametoka simba
Aliyekuwa CEO wenu senzo katoka simba

Hivi hizo akili mnatoa wapi mbona vichwa vigumu sana kuelewa kwa hyo ntibanzokiza mmoja ni sawa na hayo makapi yaliyo toka simba.
 
Nakuunga mkono na mguu! Makolo wanyamaze! Ni kama utopolo tulipowarudisha home Mafundi wa mpira Niyonzima na Morisson , mikia wanapaswa kusifu scouting ya wachezaji ya Eng Hersi Rais wa Yanga!
 
Umeandika upuuzi sana. Ntibanzokiza ni mchezaji anayejielewa. Isitoshe Simba wamemsajili kutokea Geita na siyo timu ingine. Kama ukitaka kuhusisha timu za nyuma basi uitaje tu Vital O
 
Mara moja hii Saido amekuwa mchezaji wenu? Kweli nyie ni hamnazo ndiyo maana mnavua vua nguo ovyo na kucheza uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…