Lucky93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 802
- 1,658
Akicheza mechi mbili anàpata matatizo ya kifamilia anarudi kwaoM
Morrison kaenda kwao,hatakagi ujinga yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akicheza mechi mbili anàpata matatizo ya kifamilia anarudi kwaoM
Morrison kaenda kwao,hatakagi ujinga yule
Ila sisi tulicheza na nyie pungufu tukawafungaLini tumecheza na wachezaji pungufu Kama nyie ,Mara ya pili Sasa,ingekua sisi hiyo Jana mtu akalimwa bao kumi
MatopeeeUnamuacha Saido unamchukua Makambo, hiyo ni akili au matope
Tatizo huyu sio mmwaga radhi na mlamba uchiMbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa kumchukua toka nyumba jirani kawasaidia leo mnabwata hovyo mitaani wakati aliyewasaidia ni kinda letu wenyewe!
Hebu kuweni na utu na utulivu pia onyesheni japo shukrani, na mkizidi kelele dirisha kubwa tunamrudisha, sababu uwezo huo tunao.
Shut up....
kwanza waambie hiyo mechi iliharibika baada ya red card,na wajue pia yanga haikumfukuza saidoo,ni yeye aliweka madharti ambayo tusingeeeza kuyakubali na sisi tulimpa masharti ambayo aliyakataa,basi tukaachana kwa amani kabisaMbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa kumchukua toka nyumba jirani kawasaidia leo mnabwata hovyo mitaani wakati aliyewasaidia ni kinda letu wenyewe!
Hebu kuweni na utu na utulivu pia onyesheni japo shukrani, na mkizidi kelele dirisha kubwa tunamrudisha, sababu uwezo huo tunao.
Shut up....
Mbona nyie ndiyo wanyonge wetu?ni sisi pia ndiyo tulimfurusha club africaine ya tunisia huko caf,ni sisi hadi sasa tumefungwa mechi moja tu ktk 56Mbona nyinyi mlicheza nao hamkufunga hizo goli, niambie msimu huu lini mmefunga 4-0,jibu hamna safu ya ushambuliaji kali
Miaka yote mnaponea kwa wachezaji zao letu msimu ulioisha bm 33 aliwasaidia sana cl,na sasa saidoo na huenda mwakani mkaokoteza aziz au mayele halafu mnashangilia kama mazuzuMtamrudisha wakati mmesema mzee,wivu tu,halafu mbona alipokuwa kwenu hakuwahi kufunga hatrick
Sawa, hata Feisal na Dickson Job ni wenu pia 😆😆 😆Mbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa kumchukua toka nyumba jirani kawasaidia leo mnabwata hovyo mitaani wakati aliyewasaidia ni kinda letu wenyewe!
na masharti ya Feisal na Dickson Job yakoje? 😆😆😆... saidoo,ni yeye aliweka masharti ambayo tusingeeeza kuyakubali na sisi tulimpa masharti ambayo aliyakataa,basi tukaachana kwa amani kabisa
Nakuunga mkono na mguu! Makolo wanyamaze! Ni kama utopolo tulipowarudisha home Mafundi wa mpira Niyonzima na Morisson , mikia wanapaswa kusifu scouting ya wachezaji ya Eng Hersi Rais wa Yanga!Mbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa kumchukua toka nyumba jirani kawasaidia leo mnabwata hovyo mitaani wakati aliyewasaidia ni kinda letu wenyewe!
Hebu kuweni na utu na utulivu pia onyesheni japo shukrani, na mkizidi kelele dirisha kubwa tunamrudisha, sababu uwezo huo tunao.
Shut up....
Akirudi Uto atakuwa Kijana.Mtamrudisha wakati mmesema mzee,wivu tu,halafu mbona alipokuwa kwenu hakuwahi kufunga hatrick
Umeandika upuuzi sana. Ntibanzokiza ni mchezaji anayejielewa. Isitoshe Simba wamemsajili kutokea Geita na siyo timu ingine. Kama ukitaka kuhusisha timu za nyuma basi uitaje tu Vital OMbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa kumchukua toka nyumba jirani kawasaidia leo mnabwata hovyo mitaani wakati aliyewasaidia ni kinda letu wenyewe!
Hebu kuweni na utu na utulivu pia onyesheni japo shukrani, na mkizidi kelele dirisha kubwa tunamrudisha, sababu uwezo huo tunao.
Shut up....
Mara moja hii Saido amekuwa mchezaji wenu? Kweli nyie ni hamnazo ndiyo maana mnavua vua nguo ovyo na kucheza uchi.Mbona mnakosa shukrani nyie mikia?wakati mnaelewa kabisa huyo ni home boy na bado ana mapenzi ya dhati na timu yake pendwa na bado anatumia skills na improvisions za mwalimu mahiri, mmefanikiwa kumchukua toka nyumba jirani kawasaidia leo mnabwata hovyo mitaani wakati aliyewasaidia ni kinda letu wenyewe!
Hebu kuweni na utu na utulivu pia onyesheni japo shukrani, na mkizidi kelele dirisha kubwa tunamrudisha, sababu uwezo huo tunao.
Shut up....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa uandishi huu ukizeeka naziona kila dalili za kuja kuwa kama wale wazee