Ntobi amjibu Twaha kuhusu kukata rufaa

Ntobi amjibu Twaha kuhusu kukata rufaa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Bwana Twaha! Sikia

Mie, nilivuliwa uongozi wangu kwa maelekezo ya TAL Januari 9, 2025.

Nami, siku hiyo-hiyo ya Januari 9, 2025, niwasilisha rufaa yangu kwa KM tena kwa hati ya dharula chini ya Wakili wangu
johnmallya

Mpaka jana, Kamati Kuu imefanya vikao zaidi ya 4, lakini hawajasikiliza rufaa yangu ambayo imepeleka kwa hati ya dharula kupinga kuenguliwa bila kusikilizwa na Kamati ya Maadili kwa mujibu wa Katiba.

Wewe, rufaa yako ya Jana unaanza kulia-lia? TULIA Chama kina mambo mengi!
 
watovu wa nidhamu kwenye vyama vya siasa wapuuzwe tu :NoGodNo:
 
Bwana Twaha! Sikia

Mie, nilivuliwa uongozi wangu kwa maelekezo ya TAL Januari 9, 2025.

Nami, siku hiyo-hiyo ya Januari 9, 2025, niwasilisha rufaa yangu kwa KM tena kwa hati ya dharula chini ya Wakili wangu
johnmallya

Mpaka jana, Kamati Kuu imefanya vikao zaidi ya 4, lakini hawajasikiliza rufaa yangu ambayo imepeleka kwa hati ya dharula kupinga kuenguliwa bila kusikilizwa na Kamati ya Maadili kwa mujibu wa Katiba.

Wewe, rufaa yako ya Jana unaanza kulia-lia? TULIA Chama kina mambo mengi!
Halafu wafuasi wa Lissu wataona rufaa yako Ntobi haina maana lakini ya Twaha ndio ya muhimu. Halafu wanajiita wanademokrasia. Mi nahisi kina kitu wanatumia hawa wafuasi wa Lissu!
 
Tumeletewa Jembe umeona Lakini Nchimbi

niliona mapema chemistry ya Dr.Samia, Dr. Nchimbi na Adam Kimbisa kuelekea 2025 -2040 gentleman,

chimbuko lake ni 2015. :pulpTRAVOLTA:
 
BABA WA TAIFA ALIPAMBANIA SANA UHURU WA HILI TAIFA.

ILA MWALIMU ATAKUWA NA MASIKITIKO MAKUBWA MNO.

TAIFA LIMEJAA MA ZEZETA.
 
Alitukumbusha ili taifa liendelee linahitaji.

Watu
Ardhi
Siasa safi.
Uongozi bora
 
Halafu wafuasi wa Lissu wataona rufaa yako Ntobi haina maana lakini ya Twaha ndio ya muhimu. Halafu wanajiita wanademokrasia. Mi nahisi kina kitu wanatumia hawa wafuasi wa Lissu!
Rufaa sababu uchaguzi ni kesho. Sasa ukishinda rufaa huko Aprili ndio inakuwaje sasa na kuna wajumbe walishashinda na kuapishwa!!
 
Hata Ntobi alitakiwa akapige kura kwenye uchaguzi huu ndio maana alikata rufaa kwa hati ya dharula. Hapo unasemaje?
 
Utovu wa nidhamu ni tofauti na rufaa ya uchaguzi!! Ni sawa na useme umuengue Lissu leo alafu rufaa ni Mei!!

Either way zote mbili ni makosa, tunalalamikaga sana kucheleweshwa rufaa mahakamani same to kesi ya kina Mdee rufaa ilichukua mwaka mzima kusikilizwa.

Mbowe is a pile of sh*t, akishinda kwa kura akodiwe hata sniper enough is enough.
 
Nikifikiri najadili na mtu objective. Sorry!
 
bwa mdogo akae kwa kutulia....wacha kesho tuwanyoe kwanza mabosi zake afu yeye tutamrudia
 
Back
Top Bottom