Ntobi: Baraza kuu la CHADEMA lakubaliana na maamuzi ya kamati kuu

Baraza kuu la CHADEMA, kwa kauli moja, limekubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwaengua kina Twaha na genge lao kutogombea ujumbe wa kamati kuu kwa kupiga kura za wazi.

Demokrasia inazidi kushamiri ndani ya Chama chetu.

Je, kuna swali?
Wacha uongo wako ,mjinga Mmoja wee.
 
Baraza kuu la CHADEMA, kwa kauli moja, limekubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwaengua kina Twaha na genge lao kutogombea ujumbe wa kamati kuu kwa kupiga kura za wazi.

Demokrasia inazidi kushamiri ndani ya Chama chetu.

Je, kuna swali?
Akili zako zina wadudu
 
ni muhimu sana watovu wa nidhamu na wenye viburi kuenguliwa na kutopewa nafasi za uongozi
 
ni muhimu sana watovu wa nidhamu na wenye viburi kuenguliwa na kutopewa nafasi za uongozi
Mbowe ndio wa kujilaumu kwa kufuga wahuni ndani ya chama chake, leo Chadema ni kama ukoo wa Kambale.

Sijawahi kuikubali ccm, lakini walichokifanya Dodoma kwenye mkutano mkuu ni funzo kwa vyama vyote.

DJ niletee January Makamba na chawa wake na jisongi ukihitajika utaitwa.
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…