Pre GE2025 Ntobi: Kwamba, tuwe na Mwenyekiti, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media kumpokea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.

Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X

Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambo tv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji.

Screenshot 2025-01-07 172121.png
 
View attachment 3195127
Kabla ya risasi zenu, mbona hatukuwahi kumuona akienda ubelgiji ? Na kama alienda sio kama leo hii kwa check-up ya mara kwa mara.
 
Katika huu mtafaruku nilichogundua na nachoendelea kungamua huenda tatizo na cha kubalisha sio nane awe mwenyekiti bali ni madaraka ya huyo Mwenyekiti sababu notion tu ya kwenda na Media au kumpokea mtu sababu tu ni Mwenyekiti inaonyesha utawala fulani (wakati akiwa ni symbolically and really power ipo kwa wanachama huku nadhani mtaziba loopholes za uchafuzi wa aina yoyote ile)

Ondoeni Meno ya Mwenyekiti na kuyagawanya kwa wengine wengi huku chini.... (Power Corrupts)
 
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.

Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X

Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambo tv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji.

View attachment 3195127
Ntobi anatuabisha sana sisi Wasukuma,kama hela za Abdul amekula kimpango wake lakini huku Kanda ya Victoria na Serengeti tunakwenda na Lissu.
 
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.

Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X

Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambo tv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji.

View attachment 3195127
Sio lazima yy aende yy alale tu nyumbani na mamsap wake wenye kupendezwa naye wataenda
 
Dunia ni Kijiji

Mbona Shujaa Magufuli alikuwa anakaa Chato na akina Dr Mwigullu aliwaapishia huko huko

Rais wa Msumbiji aliongea nae huko huko

Huyu Ntobi ni mchagga wa Machame kweli au ni Mrombo huyu? 🐼
Punguza ukabila, si sawa unachokifanya, mkuu umejijengea heshima kubwa humu, sio vema kila jambo unaweka ukabila, ifikie wakati ujisikie aibu nafsini mwako
 
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.

Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X

Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambo tv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji.

View attachment 3195127
Asante🤣
 
Chadema wanacheza na Chama!
Kitasambaratika,iwapo hawatasoma alama za nyakati!
 
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.

Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X

Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambo tv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji.

View attachment 3195127

Kama tunapata katiba mpya na demokrasia hata mtu akikaa popote nchi ndiyo inapiganiwa sio ushikaji. Naona hawa wengi hawaelewi sababu ya Lissu kugombea. Wanataka Lissu ashinde vijiweni. Hizi safari za wiki mbili zinazuia vipi mapambano. Kwani sasa kuna cha maana kipi kinaendelea
 
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.

Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X

Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambo tv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji.

View attachment 3195127
Huyu ntobi ni wa kuto...
 
Back
Top Bottom