Pre GE2025 Ntobi: Kwamba, tuwe na Mwenyekiti, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media kumpokea

Pre GE2025 Ntobi: Kwamba, tuwe na Mwenyekiti, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media kumpokea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe kakosea sana kuteua watu wasio na akili kumtetea. Imagine unatetewa na mtu asiye na akili halafu mfupi kama Yericko? Ni tatizo mara mbili. Ntobi sio mtu sahihi kwa hizi propaganda.
Tumbo bana tumbo baba ulaji
 
Mbowe kakosea sana kuteua watu wasio na akili kumtetea. Imagine unatetewa na mtu asiye na akili halafu mfupi kama Yericko? Ni tatizo mara mbili. Ntobi sio mtu sahihi kwa hizi propaganda.
Mungu alimpa kila binadamu akili hivyo hakuna binadamu asiyena akili labda ungeniambia maarifa na busara ndio binadamu hupata kwa kufundishwa lakini niyo akili.
 
Chadema ina vilaza wengi kama ccm pia. Huu mkasa umewaibua kibao, Yeriko maandishi yake nilikua naona yamefanyiwa uchambuzi ila kupitia hili sakata nimegundua ni kilaza mno.

Nani anakumbuka Lipumba na kujifungia ofisi za Buguruni? Cuf iko wapi?
 
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.

Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X

Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambo tv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji.

View attachment 3195127
Ile ya kwanza alisamehewa au? Maana hicho ni kijembe au
 
Mbowe kakosea sana kuteua watu wasio na akili kumtetea. Imagine unatetewa na mtu asiye na akili halafu mfupi kama Yericko? Ni tatizo mara mbili. Ntobi sio mtu sahihi kwa hizi propaganda.
Yaani wale vilaza wawili walimuabisha sana boss wao. Eti Mbowe ndiye Alfa na Omega ndani ya Chadema
 
Attachments

  • GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg
    GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg
    58.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom